Grace and Truth

This website is under construction !

Search in "Kiswahili":
Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 095 (… but at the same time, avoid offence where you can)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA SITA: FAHAMU WAONGOFU KUTOKA UISLAMU
SURA YA KUMI NA TANO: USHAURI KWA KANISA

15.4. … lakini wakati huo huo epuka kukwaza kama unaweza


Baadhi ya Wakristo bila kujua wanawakwaza waongofu kwa kufanya mambo ambayo ni kawaida kwa Wakristo lakini hayakubaliki kwa mtu aliyetoka kwenye Uislamu, kama vile kuweka Biblia chini ya sakafu, kuomba huku umekunja nne, au kuvaa nguo ambazo kitamaduni hasitahili kanisani, haya yanaweza kuepukwa bila kuathiri imani.

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 11, 2024, at 03:03 AM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)