Grace and TruthThis website is under construction ! |
|
Home Afrikaans |
Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 057 (CHAPTER TEN: SOCIAL OBSTACLES FOR MUSLIMS TO OVERCOME WHEN CONSIDERING CHRISTIANITY)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?
Previous Chapter -- Next Chapter 17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA NNE: FAHAMU VIKWAZO VYA KIISLAMU DHIDI YA INJILI
SURA YA KUMI: VIKWAZO VYA KIJAMII KWA WAISLAMU WANAPOTAFAKARI KUWA WAKRISTOSio hata rahisi kwa Muislamu kutafakari Ukristo kama mfumo wa imani unaowezekana kwao kuchagua. Kwa wengi ni jambo lililo nje kabisa na kujiuliza, hata kukana Mungu, itakuwa ni jambo la kushitua sana kwamba atachagua ukana Mungu kabla ya Ukristo kwa Muislamu. Kwa nini hili? Sura hii fupi itaangazia sababu zinazosababisha kutokana usuli wa misingi ya nyuma ya Kiislamu (Malezi, utamaduni, jamii), na mbili, sura ndefu itazingatia mapingamizi ya Kitheolojia ambayo ni mengi. |