Home
Links
Contact
About us
Impressum
Site Map?


Afrikaans
عربي
বাংলা
Dan (Mande)
Bahasa Indones.
Cebuano
Deutsch
English-1
English-2
Español
Français
Hausa/هَوُسَا
עברית
हिन्दी
Igbo
ქართული
Kirundi
Kiswahili
മലയാളം
O‘zbek
Peul
Português
Русский
Soomaaliga
தமிழ்
తెలుగు
Türkçe
Twi
Українська
اردو
Yorùbá
中文



Home (Old)
Content (Old)


Indonesian (Old)
English (Old)
German (Old)
Russian (Old)\\

Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 056 (Ignorance of Islamic beliefs)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA NNE: FAHAMU VIKWAZO VYA KIISLAMU DHIDI YA INJILI
SURA YA TISA: VIKWAZO VYA WAKRISTO KUSHINDA WANAPOWAINJILISHA WAISLAMU

9.11. Ujinga wa Imani ya Kiislamu


Wakirsto wengi wana ufahamu finyu wa namna Wasilamu wanavyowaza au wanavyofiri vitu. Hatujui sana kuhusu saikolojia ya Waislamu, namna wanavyotafakari mambo, dini yao inamaanisha nini kwao. Zamani vitu vizuri juu ya Uislamu viliandikwa na Wakristo; kwa leo kila kinachoandikwa juu ya Uislamu na Wakristo inachukua mkondo mmoja au mitatu. Ni ama vya kueneza, au vya chuki au vya mtazamo tu. Tunahitaji mtazamo wa kusoma Uislamu kwa kutumia muono wa Kikristo. Huu ukosefu wa ufahamu inaweza kufanya iwe ngumu sana kwa Wakristo kushirikiana na Waislamu hasa wanapoongelea mambo ya dini.

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 10, 2024, at 12:14 PM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)