Home
Links
Contact
About us
Impressum
Site Map?


Afrikaans
عربي
বাংলা
Dan (Mande)
Bahasa Indones.
Cebuano
Deutsch
English-1
English-2
Español
Français
Hausa/هَوُسَا
עברית
हिन्दी
Igbo
ქართული
Kirundi
Kiswahili
മലയാളം
O‘zbek
Peul
Português
Русский
Soomaaliga
தமிழ்
తెలుగు
Türkçe
Twi
Українська
اردو
Yorùbá
中文



Home (Old)
Content (Old)


Indonesian (Old)
English (Old)
German (Old)
Russian (Old)\\

Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 059 (Misunderstanding)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA NNE: FAHAMU VIKWAZO VYA KIISLAMU DHIDI YA INJILI
SURA YA KUMI: VIKWAZO VYA KIJAMII KWA WAISLAMU WANAPOTAFAKARI KUWA WAKRISTO

10.2. Kutokuelewa


Mafundisho ya Kiislamu yanaonyesha ukosefu wa kufahamu Ukristo. Kwanza kabisa, Waislamu wanatumia neno “Mungu” kama nomino (jina)ya kweli kuhusu Mungu, hivyo wanaposikia Wakristo wakisema Yesu ni Mungu, Mungu Baba naye ni Mungu, na Roho Mtakatifu naye ni Mungu, Waislamu wanaelewa kwamba Mungu Baba ndiye Yesu na ndiye Roho Mtakatifu (Ndio kusema wote wanamaanisha nafsi moja ile ile). Inapokuja suala la Utatu, Qur’an inadai kwamba Wakristo wanaabudu Miungu watatu (Allah, Yesu, na Mariamu). Na Qur’an inasema dhambi ya Ushirikina haiwezi kusamehewa, hii ni laana kamili kwa waislamu! Hijalishi ni mara ngapi Wakristo wanafafanua kwamba dhanahii imekosa kueleweka kwao vema kuhusu imani yetu juu ya utatu, Waislamu bila shaka wataendelea kuamini kinachosemwa na Qur’an.

Kisha bila shaka tunalo tatizo la kulinganisha Ukristo na Mfumo wa maisha ya Wazungu yaani Magharibi. Wasilamu walio nje nchi za magharibi ya Wazungu, wanaona mfumo wa maisha yanavyoonyeshwa katika filamu za Hollywoods na tamthilia kwenye luninga, ambazo hazina maadili kabisa kwa viwango vya Kiislamu, na kufikiri hivyo vinawakilisha Ukristo ulivyo.

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 10, 2024, at 12:18 PM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)