Grace and TruthThis website is under construction ! |
|
Home Afrikaans |
Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 060 (Psychology)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?
Previous Chapter -- Next Chapter 17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA NNE: FAHAMU VIKWAZO VYA KIISLAMU DHIDI YA INJILI
SURA YA KUMI: VIKWAZO VYA KIJAMII KWA WAISLAMU WANAPOTAFAKARI KUWA WAKRISTO
10.3. SaikolojiaWaislamu wengi- hata wasio watu wa dini sana- bado wanaamini Wakristo ndio maadui zao wakuu. Vita vya Msalaba vinafundishwa kama mashambulizi ya kuchokoza Waislamu vilivyofanywa na Wakristo. Kwa waislamu wengi kila mzozo unaohusisha Muislamu inachukuliwa ni vita dhidi ya Uislamu. Saa zingine misaada ya Kijamii inaweza kuchukuliwa kinyume na maudhui yake kama kupiga vita Uislamu. |