Home
Links
Contact
About us
Impressum
Site Map?


Afrikaans
عربي
বাংলা
Dan (Mande)
Bahasa Indones.
Cebuano
Deutsch
English-1
English-2
Español
Français
Hausa/هَوُسَا
עברית
हिन्दी
Igbo
ქართული
Kirundi
Kiswahili
മലയാളം
O‘zbek
Peul
Português
Русский
Soomaaliga
தமிழ்
తెలుగు
Türkçe
Twi
Українська
اردو
Yorùbá
中文



Home (Old)
Content (Old)


Indonesian (Old)
English (Old)
German (Old)
Russian (Old)\\

Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 094 (Don't disguise your faith …)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA SITA: FAHAMU WAONGOFU KUTOKA UISLAMU
SURA YA KUMI NA TANO: USHAURI KWA KANISA

15.3. Usifiche imani yako …


Katika shauku ya kutotaka kukwaza au kutaka Ukristo ueleweke vizuri na Waislamu, Wakristo katika baadhi ya nchi wanaweza labda kuona aibu kukiri imani yao au kujaribu kuufafanua katika hali ya Kiislamu. Katika mazingira yao, tunahatarisha kutoa mtazamo wa imani yetu kwamba hatuna uhakika na tunachokiamini, na wanaweza kukaribia hata kuwa waongo.

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 11, 2024, at 03:02 AM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)