Previous Chapter -- Next Chapter
3.6. IMANI 6: Imani katika Kudra
Uislamu unafundisha imani ya kudra yenye hatima kamili, Iliyoamuriwa na Mungu, ambayo inamaanisha Allah moja kwa moja, anaumba kila tukio na tendo. Hii iko wazi kwa Wanazuoni wa Kiislamu na kwa thabiti inakubalika na Waislamu wengi. Kuna baadhi ya fikra za Uislamu zinakataa kabisa mtu kuwa na utashi; ingawa baadhi wanatoa utashi mdogo kwa wanadamu.
Qur’an inaelezea jinsi ambavyo kudra ya wana wa Adam namna ambavyo hatma yao iliamuriwa:
Hii imepanuliwa zaidi katika Hadith ambayo inamnukuu Muhammad akisema:
Inaendelea zaidi kwa kusema:
Kama ilivyoonyeshwa hapo juu, hii inamaanisha kwamba Uislamu ni mkanganyiko uliokithiri tena mbaya sana, na unashawishi na kuathiri maamuzi na matendo ya kila Muislamu angalau kwa kiwango fulani.