Home
Links
Contact
About us
Impressum
Site Map?


Afrikaans
عربي
বাংলা
Dan (Mande)
Bahasa Indones.
Cebuano
Deutsch
English-1
English-2
Español
Français
Hausa/هَوُسَا
עברית
हिन्दी
Igbo
ქართული
Kirundi
Kiswahili
മലയാളം
O‘zbek
Peul
Português
Русский
Soomaaliga
தமிழ்
తెలుగు
Türkçe
Twi
Українська
اردو
Yorùbá
中文



Home (Old)
Content (Old)


Indonesian (Old)
English (Old)
German (Old)
Russian (Old)\\

Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 019 (AXIOM 6: Belief in fate)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA PILI: FAHAMU IMANI NA MATENDO KATIKA UISLAMU
SURA YA TATU: NGUZO ZA IMANI

3.6. IMANI 6: Imani katika Kudra


Uislamu unafundisha imani ya kudra yenye hatima kamili, Iliyoamuriwa na Mungu, ambayo inamaanisha Allah moja kwa moja, anaumba kila tukio na tendo. Hii iko wazi kwa Wanazuoni wa Kiislamu na kwa thabiti inakubalika na Waislamu wengi. Kuna baadhi ya fikra za Uislamu zinakataa kabisa mtu kuwa na utashi; ingawa baadhi wanatoa utashi mdogo kwa wanadamu.

Qur’an inaelezea jinsi ambavyo kudra ya wana wa Adam namna ambavyo hatma yao iliamuriwa:

“Kumbuka Mola wako Mlezi alipowaleta katika viuno vya wana wa Adam na uzao wao kisha akawashuhudisha juu ya nafsi zao. Allah akauliza, Je, mimi siye Mola wenu? Wakajibu, Ndio, Wewendiye! Tunashuhudia.’ Akawatahadhrisha, ‘Sasa huna haki ya kusema lolote siku ya hukumu, Hatukuwa tukijua haya.” (Qur’an 7:172)

Hii imepanuliwa zaidi katika Hadith ambayo inamnukuu Muhammad akisema:

Allah alimuumba Adam, akamtoa kutoka kiuno chake kila mwanadamu atakayekuwepo, na kisha akasema hawa wameandikiwa hatma ya pepo na mimi sijali, na wale ni wa motoni na mimi sijali.”

Inaendelea zaidi kwa kusema:

“Mmoja katika masahaba wa Muhammad alimuuliza, kwa nini tufanye kazi sasa? Na akamjibu ni kwa mujibu wa kudra” (Sahih Ibn Hibban)

Kama ilivyoonyeshwa hapo juu, hii inamaanisha kwamba Uislamu ni mkanganyiko uliokithiri tena mbaya sana, na unashawishi na kuathiri maamuzi na matendo ya kila Muislamu angalau kwa kiwango fulani.

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 09, 2024, at 05:41 AM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)