Grace and Truth

This website is under construction !

Search in "Kiswahili":
Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 034 (Christ’s Infallibility)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA TATU: FAHAMU KRISTO MUISLAMU
SURA YA SITA: KRISTO KATIKA UISLAMU

6.6. Kutokosea kwa Kristo


Uislamu unafundisha kwamba Manabii wote hawakuwahi kukosea, lakini tunaposoma katika Qur’an na hadith, tunaona yakitajwa dhambi nyingi zilizofanywa na manabii ikijumuisha hata Muhammad. Kiuhalisia Qur’an ipo wazi kuhusu kwamba Muhamad hakuwa huru na dhambi:

“Hili Mwenyezi Mungu akusamehe makosa yako yaliyotangulia na yajayo na akutimizie neema zake na akuongoe katika njia iliyonyooka” (Qur’an 48:2)

Kwa uwazi aidha ni kwamba alikuwa mwenye dhambi na aliyehitaji kusamehewa, au hakuwa na dhambi na Qur’an ilikosea kwa kusema alihitaji msamaha. Kristo pekee ndiye nabii katika Uislamu ambaye hakuna dhambi inahusishwa naye kwa namna yoyote ile na wala hakuna sehemu inaposemwa kwamba alihitaji msamaha.

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 10, 2024, at 12:29 AM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)