Grace and Truth

This website is under construction !

Search in "Kiswahili":
Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 036 (Christ Knowing the future)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA TATU: FAHAMU KRISTO MUISLAMU
SURA YA SITA: KRISTO KATIKA UISLAMU

6.8. Kristo kujua mambo ya baadaye


Qur’an inafundisha kwamba Allah peke yake anajua mambo ya baadaye na yale yasioonekana. Bado mahali pengine inasema kwamba Yesu pia anajua vitu hivi, Ni kwamba ama Qur’an haiko sahii inaposema Allah peke yake anavijua, au Yesu ni Allah! Qur’an inasema:

“Yeye (Allah) ndiye mwenye kujua ya siri, wala hamdhihirishii yoyote siri yake, isipokuwa mtume wake aliyemridhia” (Qur’an 72:26-27)

Kote ndani ya Qur’an "Úpekee" huo unahusishwa kwa Kristo tu na na hakuna mwingine.

“Na kwa hakika, yeye Isa ni alama ya Saa ya kiyama. Basi usiitilie shaka, na nifuateni.Hii ndio njia iliyonyooka” ( Qur’an 43:61)

Aya hii ina utata katika asili yake kwa Kiarabu; Wafafanuzi wengine wanachukulia aya hii kumaanisha Kristo ni alama ya siku ya hukumu, Wengine wanasema inamaanisha anajua lini itatokea, na bado kuna tafsiri zingine. Lakini tafsiri hizi zote zinawekezana na ziko dhahiri.

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 10, 2024, at 12:34 AM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)