Previous Chapter -- Next Chapter
6.9. Maombezi ya Kristo
Qur’an inasema:
Bado Qur’an inasema pia
Mwanazuoni wa Kiislamu as-Syuti, akiandika katika mafafanuzi ya Qur’an inayoitwa Tafseer al- Jalalayn anasema aya hii “heshima itakuwa katika dunia kwa njia utume wake na katika Akhera kupitia maombezi yake.”
Na tunaweza kuona kwamba kuna mambo yanahusishwa kwa Kristo pia yamehusishwa kwa manabii wengine- kama vile mijiuza ambayo pia Qur’an imemhusisha Musa kwa miujiza mingi- lakini Kristo ametengwa kipekee ambayo amehusishwa na hivyo vyote kwa pamoja. Qur’an inasema yeye ni mwanadamu wa kawaida, lakini wakati huo huo amepewa hadhi na uwezo wa kutenda mambo ambayo kote Qur’an inasema ni vya Allah pekee anaweza kuvitenda. Hii ni jambo ambalo ni ngumu kwa Waislamu kueleza. Wakati hatuwezi na hatutaki kutumia Qur’an kuthibitisha Uungu wa Kristo, inaweza kuwa msaada kumtia moyo Muislamu unayewasiliana naye kufikiri zaidi kwa nini mwanadamu wa kawaida amehusishwa na tabia na hadhi za KiMungu.