Grace and Truth

This website is under construction !

Search in "Kiswahili":
Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 049 (Nominal Christianity)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA NNE: FAHAMU VIKWAZO VYA KIISLAMU DHIDI YA INJILI
SURA YA TISA: VIKWAZO VYA WAKRISTO KUSHINDA WANAPOWAINJILISHA WAISLAMU

9.4. Wakristo wa Jina


Wengi wanaokiri kuwa Wakristo hawaishi kulingana maagizo ya Ukirsto vilivyo kwenye Biblia, wala hawaoni haja ya kufanya kufanya hivyo. Wakristo wa jina wanaona Ukristo kama sio zaidi ya kwenda kanisani kila wakati, kisha wanajiita kuwa Wakristo. Wengine wanaona Ukristo kama fumbo fulani ya kipekee kwa mtu binafsi badala ya kukubali lengo la kweli ya Biblia. Watu wa namna hiyo kwa kweli hawawezi kuhubiri neno la Mungu kwa wengine maana wao wenyewe hawakubali kweli ya neno lenyewe. Kama Kristo alivyoiweka,

“Ninyi ni chumvi ya dunia, lakini chumvi ikiwa imeharibika itatiwa nini hata ikolee? Haifai tena kabisa, ila kutupwa nje na kukanyagwa na watu.” (Mathayo 5:13)

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 10, 2024, at 10:48 AM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)