Grace and Truth

This website is under construction !

Search in "Kiswahili":
Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 050 (Spiritual forces of evil)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA NNE: FAHAMU VIKWAZO VYA KIISLAMU DHIDI YA INJILI
SURA YA TISA: VIKWAZO VYA WAKRISTO KUSHINDA WANAPOWAINJILISHA WAISLAMU

9.5. Nguvu ovu za Kiroho


Je tunafikiri, hata kwa dakika moja, kwamba mfalme wa giza ataruhusu 20% ya idadi ya watu duniani kuponyoka nje ya mikono yake kwa urahisi tu? Baadhi ya vitu ambavyo sisi Wakristo mara nyingi tunashindwa kuweka akilini mara kwa mara ni nguvu za giza. Ingawa tunatambua kwamba nguvu kamilifu iko kwa Mungu tu, lakini haimzui Shetani kufanya kila kitu anachoweza kuzuia Injili kwa kuwapotosha watu wengi kwa kadri anavyoweza-hata kujaribu kuwapotosha hata wateule pia (Mathayo 24:24) Paulo anatambua ukweli wa vita hivi:

“Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama, bali juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya ya majeshi ya mapepo mabaya katika ulimwengu war oho” ( Efeso 6:12)

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 10, 2024, at 10:49 AM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)