Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 066 (Areas of agreement)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?
Previous Chapter -- Next Chapter
17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA NNE: FAHAMU VIKWAZO VYA KIISLAMU DHIDI YA INJILI
SURA YA KUMI NA MBILI: ULINGANIFU MFUPI WA MADA KATIKA BIBLIA NA QUR’AN
12.1. Maeneo ya makubalino
- Mungu ndiye muumbaji na Mdhibiti wa ulimwengu (ingawa mtazamo wa Kiislamu ni mbaya).
- Mungu ni Mkuu aliye huru.
- Kuna maisha baada Kufa.
- Kuna adhabu ya milele na thawabu ( japo hatukubaliani kwenu mafafanuzi).
- Kuna roho mbaya na zuri (kama vile Malaika, Waislamu wanaamini katika majini, kuna majini wema na wabaya)
- Yesu alizaliwa na bikira kupitia muujiza wa mimba yake kutungwa.
- Yesu aliishi maisha yasio na dhambi.
- Yesu alitenda miujiza mingi.
- Yesu ni Masihi (Lakini Waislamu hawaelewi maana ya Kibiblia ya Masihi).
- Yesu alipaa kwenda mbinguni (Lakini Waislamu hawaamini katika kufa na kufufuka kwa Kristo).
- Kuna mbingu na kuzimu (japo kuna kutokukubaliana kwa muhimu sana juu ya taarifa za huko).