Grace and Truth

This website is under construction !

Search in "Kiswahili":
Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 092 (Be welcoming despite caution)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA SITA: FAHAMU WAONGOFU KUTOKA UISLAMU
SURA YA KUMI NA TANO: USHAURI KWA KANISA

15.1. Kuwa Mkaribishaji licha ya tahadhari


Baadhi ya makanisa hawawakubali waongofu wapya kwa urahisi, katika baadhi ya mazingira ni kwa sababu ya tahadhari kwamba wanaweza kuwa watoa taarifa wa Polisi- ambayo huwa inatokea katika baadhi ya nchi. Katika mazingira mengine unaweza kuwa hauna uhakika kama huyu mtu ameamini kweli na kama ana nia ya kweli, au kwamba wana malengo mengine yaliyojificha. Hizi ni tahadhari za kweli, Lakini hazitakiwi kutuzuia kuhubiri katika Pendo.

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 11, 2024, at 03:16 AM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)