Home
Links
Contact
About us
Impressum
Site Map?


Afrikaans
عربي
বাংলা
Dan (Mande)
Bahasa Indones.
Cebuano
Deutsch
English-1
English-2
Español
Français
Hausa/هَوُسَا
עברית
हिन्दी
Igbo
ქართული
Kirundi
Kiswahili
മലയാളം
O‘zbek
Peul
Português
Русский
Soomaaliga
தமிழ்
తెలుగు
Türkçe
Twi
Українська
اردو
Yorùbá
中文



Home (Old)
Content (Old)


Indonesian (Old)
English (Old)
German (Old)
Russian (Old)\\

Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 020 (CHAPTER FOUR: THE PILLARS OF ISLAM)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA PILI: FAHAMU IMANI NA MATENDO KATIKA UISLAMU

SURA YA NNE: NGUZO ZA UISLAMU


Kando ya Uislamu kuamini katika nguzo sita za Imani, Waislamu pia wanaamini katika kile kinachoitwa nguzo tano za Uislamu. Haya ni matendo ambayo Mukhtasari wake umetolewa katika Hadith (Makusanyo ya Bukhari na Muslim) yanayotakiwa kutendwa na kila Muislamu, isipokuwa mambo machache maalumu tu. Nguzo hizo ni: Shahada (ukiri), Salat (sala za faradhi), sawm (Kufunga), Zakat (zaka), na hajj (Kuhiji). Baadhi ya vyanzo vya Wa-Sunni wanaongeza Jihad (Kupigania dini ya Mwenyezi Mungu) kama nguzo ya sita; vyanzo vingine vinahesabu jihad kama nguzo ya tano badala ya hajj. Kumbuka kwamba hizi nguzo hazipo ndani ya Qur’an, na Waislamu wa madhehebu ya Sh’ia wana orodha tofauti kabisa na hii. Kwa wanazuoni wa Sunni, hata hivyo mtu anayejiita Muislamu au kutoka katika familia ya Kiislamu na haamini mojawapo ya nguzo hizi sio Muislamu na atahesabiwa kama kafiri (muasi). Baadhi ya wanazuoni wanaamini kwamba mtu wa namna hiyo anatakiwa kuuwawa kwa ajili hiyo, ingawa hawakubaliani kwamba hii inasitahili adhabu ya kifo.

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 09, 2024, at 05:44 AM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)