Grace and TruthThis website is under construction ! |
|
Home Afrikaans |
Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 032 (Christ Supported by the Spirit of the Holy)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?
Previous Chapter -- Next Chapter 17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA TATU: FAHAMU KRISTO MUISLAMU
SURA YA SITA: KRISTO KATIKA UISLAMU
6.4. Kristo alisaidiwa kwa nguvu za roho takatifuIngawa Qur’an haimaanishi kitu kile kile kama ambavyo Wakristo wanamaanisha Roho Mtakatifu, katika Uislamu Kristo peke yake anayesemwa kusaidiwa na kuthibitishwa na Roho Mtakatifu: “Na tukampa Isa mwana Maryamu hoja zilizo wazi, na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu” (Qur’an 2: 253)
Hili linamfanya Kristo kuwa wa kipekee katika Uislamu. |