Home
Links
Contact
About us
Impressum
Site Map?


Afrikaans
عربي
বাংলা
Dan (Mande)
Bahasa Indones.
Cebuano
Deutsch
English-1
English-2
Español
Français
Hausa/هَوُسَا
עברית
हिन्दी
Igbo
ქართული
Kirundi
Kiswahili
മലയാളം
O‘zbek
Peul
Português
Русский
Soomaaliga
தமிழ்
తెలుగు
Türkçe
Twi
Українська
اردو
Yorùbá
中文



Home (Old)
Content (Old)


Indonesian (Old)
English (Old)
German (Old)
Russian (Old)\\

Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 048 (Fear for Muslims)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA NNE: FAHAMU VIKWAZO VYA KIISLAMU DHIDI YA INJILI
SURA YA TISA: VIKWAZO VYA WAKRISTO KUSHINDA WANAPOWAINJILISHA WAISLAMU

9.3. Hofu dhidi ya Waislamu


Kuhusihana na hoja tulizoziona hapo awali juu ya hofu ya hatari kwa waislamu. Hii itajadiliwa kwa undani zaidi katika sehemu ya baadaye, lakini mahali pengi, Kuongoka kuingia kwenye Ukristo, Kusoma Biblia, hata tu kujihusisha na mijadala ya dini pamoja na Wakirsto inaweza kusababisha hatari nyingi kubwa za kisheria (Kufungwa au kifo) au za kijamii. Baadhi ya Wakristo hawataki kuwajibika na hatari hizo. Bila shaka hofu hii inatakiwa kupewa uzito na umuhimu wa kama tulivyoona katika mukstari hapo juu, thamani ya mahusihano ya Mungu ambayo tunashiriki, na ufahamu kwamba ni Mungu peke yake anayeokoa na sio sisi tunamuongoa mtu mwingine.

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 10, 2024, at 10:47 AM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)