Home
Links
Contact
About us
Impressum
Site Map?


Afrikaans
عربي
বাংলা
Dan (Mande)
Bahasa Indones.
Cebuano
Deutsch
English-1
English-2
Español
Français
Hausa/هَوُسَا
עברית
हिन्दी
Igbo
ქართული
Kirundi
Kiswahili
മലയാളം
O‘zbek
Peul
Português
Русский
Soomaaliga
தமிழ்
తెలుగు
Türkçe
Twi
Українська
اردو
Yorùbá
中文



Home (Old)
Content (Old)


Indonesian (Old)
English (Old)
German (Old)
Russian (Old)\\

Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 047 (Fear for ourselves)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA NNE: FAHAMU VIKWAZO VYA KIISLAMU DHIDI YA INJILI
SURA YA TISA: VIKWAZO VYA WAKRISTO KUSHINDA WANAPOWAINJILISHA WAISLAMU

9.2. Hofu juu yetu


Gharama za Kuinjilisha katika sehemu tofauti za dunia ziko mbali mbali, kufanyiwa mzaha au kushutumiwa kwa kutokuvumilia wengine hadi kukamatwa na kufungwa, na hata kifo. Baadhi ya nchi za Kiislamu kama vile Saudia Arabia au Irani wanashikilia uhalali wao kisiasa kama Walinzi wa Uislamu. Kama serekali ikiruhusu uinjilishaji ,itakuwa kimatendo imeacha sababu za madai yake ya uhalali wa uwepo wake madarakani. Hata watu binafsi kwenye serekali hizo wakivumilia mawazo tofauti au dini tofauti, Hawawezi kukiri hadharani uvumilivu wao huo (1Wakorintho 1:18). Hata serekali zenye misimamo ya Wastani kama vile Misri bado wanapata uhalali wao kisiasa kutokana na dini, hivyo wanapaswa kutenda kama walinzi wa dini hiyo.

Sababu nyingine ya kuharamisha Uinjilishaji ni kwamba hizo serekali wana hofu ya Kupingwa na Waislamu wenye siasa kali kwenye nchi zao wenyewe. Hii haipo kwenye nchi za Kiislamu tu lakini hata nchi za Magharibi pia, ambapo kuna baadhi ya sehemu Uinjilishaji hauruhusiwi na angalau unakunjiwa uso kwa sababu mamlaka zinaogopa hasira ya wenye siasa kali.

Kwa baadhi ya Wakirsto, vizuizi sio vingi. Na bado hata sehemu ambapo Uinjilishaji haujazuiwa kisheria, wanaweza kuhatarisha kudhihakiwa au dharau. Kwa sababu hizo, Wakristo wengi kote duniani wanaogopa kuongea juu ya Kristo kwa Waislamu. Lakini Biblia inatukumbusha kwamba upendo wa Mungu ni bora kuliko maisha yenyewe, hivyo basi tunapaswa kweli kweli kumtukuza yeye (Zaburi 63:3).

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 10, 2024, at 10:36 AM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)