Home
Links
Contact
About us
Impressum
Site Map?


Afrikaans
عربي
বাংলা
Dan (Mande)
Bahasa Indones.
Cebuano
Deutsch
English-1
English-2
Español
Français
Hausa/هَوُسَا
עברית
हिन्दी
Igbo
ქართული
Kirundi
Kiswahili
മലയാളം
O‘zbek
Peul
Português
Русский
Soomaaliga
தமிழ்
తెలుగు
Türkçe
Twi
Українська
اردو
Yorùbá
中文



Home (Old)
Content (Old)


Indonesian (Old)
English (Old)
German (Old)
Russian (Old)\\

Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 037 (Christ’s Intercession)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA TATU: FAHAMU KRISTO MUISLAMU
SURA YA SITA: KRISTO KATIKA UISLAMU

6.9. Maombezi ya Kristo


Qur’an inasema:

“Sema, Uombezi wowote upo kwa Mwenyezi Mungu (Allah) peke yake” (39:44)

Bado Qur’an inasema pia

“Ewe Maryamu, Hakika Allah anakubashiria (Mwana) neno kutoka kwake, Jina lake ni Masihi, Isa, mwana wa Maryamu, mwenye heshima katika dunia na Akhera ni miongoni mwa walioakaribishwa” (Qur’an 3:45)

Mwanazuoni wa Kiislamu as-Syuti, akiandika katika mafafanuzi ya Qur’an inayoitwa Tafseer al- Jalalayn anasema aya hii “heshima itakuwa katika dunia kwa njia utume wake na katika Akhera kupitia maombezi yake.”

Na tunaweza kuona kwamba kuna mambo yanahusishwa kwa Kristo pia yamehusishwa kwa manabii wengine- kama vile mijiuza ambayo pia Qur’an imemhusisha Musa kwa miujiza mingi- lakini Kristo ametengwa kipekee ambayo amehusishwa na hivyo vyote kwa pamoja. Qur’an inasema yeye ni mwanadamu wa kawaida, lakini wakati huo huo amepewa hadhi na uwezo wa kutenda mambo ambayo kote Qur’an inasema ni vya Allah pekee anaweza kuvitenda. Hii ni jambo ambalo ni ngumu kwa Waislamu kueleza. Wakati hatuwezi na hatutaki kutumia Qur’an kuthibitisha Uungu wa Kristo, inaweza kuwa msaada kumtia moyo Muislamu unayewasiliana naye kufikiri zaidi kwa nini mwanadamu wa kawaida amehusishwa na tabia na hadhi za KiMungu.

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 10, 2024, at 12:36 AM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)