Grace and Truth

This website is under construction !

Search in "Kiswahili":
Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 061 (Political Islam)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA NNE: FAHAMU VIKWAZO VYA KIISLAMU DHIDI YA INJILI
SURA YA KUMI: VIKWAZO VYA KIJAMII KWA WAISLAMU WANAPOTAFAKARI KUWA WAKRISTO

10.4. Uislamu wa Kisiasa


Waislamu wanasema kwamba Uislamu ni dini na wakati huo huo ni dola, na mtazamo wa namna hiyo wa Waislamu unafanya waone Uislamu kama utambulisho wa Kijamii na Kisiasa. Kuacha Uislamu itachukuliwa kama uhaini wa juu zaidi. Hata Waislamu wasiofuata dini sana bado wanashikilia kwa thibati utambulisho huu.

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 10, 2024, at 12:31 PM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)