Grace and Truth

This website is under construction !

Search in "Kiswahili":
Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 062 (The law of apostasy)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA NNE: FAHAMU VIKWAZO VYA KIISLAMU DHIDI YA INJILI
SURA YA KUMI: VIKWAZO VYA KIJAMII KWA WAISLAMU WANAPOTAFAKARI KUWA WAKRISTO

10.5. Sheria ya Kuritadi


Uislamu unafundisha kwamba yoyote anayeacha Uislamu ni msaliti na anapaswa kuuwawa. Hata mahali ambapo hili halitokei, mtu aliyeritadi bado atatengwa na familia, na atahatarisha kupoteza mali zao, kazi, mke au mme, watoto na kadhalika. Hivyo ni kusema wanachukulia kwamba hakuna yoyote mwenye akili timamu atakayechukua uamuzi wa kuacha Uislamu!

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 10, 2024, at 12:32 PM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)