Grace and Truth

This website is under construction !

Search in "Kiswahili":
Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 063 (Something never heard of)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA NNE: FAHAMU VIKWAZO VYA KIISLAMU DHIDI YA INJILI
SURA YA KUMI: VIKWAZO VYA KIJAMII KWA WAISLAMU WANAPOTAFAKARI KUWA WAKRISTO

10.6. Kitu ambacho hakijawahi kusikiwa


Ingawa- kama ilivyoonyeshwa katika sura iliyopita- watu wanaojiunga na Uislamu ndio mara nyingi huongelewa na wakati mwingine kusherekewa kwenye vyombo vya habari, na kujiunga na Ukristo inafichwa kwa ajili ya sababu za usalama-au –ikijulikana- haiongelewi au kutajwa kwenye vyombo vya habari. Ndio Kusema Muislamu hasa hatajua kuhusu muislamu hata mmoja ambaye amekuwa Mkristo na kuacha Uislamu- kamwe. Kwao, Kuongoka kutoka Uislamu ni jambo lisilowezekana kabisa na haiwezi kutokea. Ni jambo ambalo wala sio kuulizia, sio jambo la kuizingatia na kuisema.

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 10, 2024, at 12:33 PM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)