Grace and Truth

This website is under construction !

Search in "Kiswahili":
Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 084 (CHAPTER FOURTEEN: SOCIETAL DIFFICULTIES FACED BY NEW CONVERTS FROM ISLAM)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA SITA: FAHAMU WAONGOFU KUTOKA UISLAMU

SURA YA KUMI NA NNE: SHIDA ZA KIJAMII WANAZOKU TANA NAZO WAONGOFU WAPYA


Yesu hakuwahi kusema kwamba maisha yatakuwa rahisi kwa anayemfuata Kristo. Kwa kweli alisema kinyume chake (Angalia Matendo 9:16, Matendo 14:22, Matendo 20:23 na Wafilipi 1:29) Wakristo wanaotoka kwenye Uislamu wanaweza kukutana na shida za kipekee kwao. Shida zitatofautiona kulingana na nchi na nchi, familia na familia, na mtu na mtu, lakini hapa tutaangazia baadhi ya changamoto ya uamuzi wa kumfuata kristo ili kwamba uweze kuzingatia namna nzuri unayoweza kutumia kuwasaidia waongofu wapya katika familia ya kanisa lako.

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 11, 2024, at 02:51 AM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)