Grace and TruthThis website is under construction ! |
|
Home Afrikaans |
Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 008 (CHAPTER TWO: MOHAMMED’S LIFE)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?
Previous Chapter -- Next Chapter 17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA KWANZA: UFAHAMU MWANZO WA UISLAMU
SURA YA PILI: MAISHA YA MUHAMMADWakati Waislamu wanaamini kwamba Muhammad hakuwa mtume pekee wa Uislamu, Lakini tu mwisho wa mitume wa kwanza akiwa ni Adam na ikijumuisha baadhi ya takwimu za Biblia kama vile Ibrahim, Musa,na Yesu, Kwa jumla anakubalika kama mwanzilishi wa Uislamu kama unavyojulikana leo na mpokeaji wa Qur’an, kitabu kitukufu. Katika sura tutaangaza maisha yake, na kutazama namna ambayo malezi yake ya upagani na maingiliano yake na Wakristo walioamini uzushipamoja na wayahudi wa eneo hilo kwa uzito vilishawishi na kuathiri maendeleo ya mafundisho yake ya Uislamu. Na tuanze, basi, na utoto wake kasha kuendelea na ndoa yake ya kwanza, wito wake wa utume, miaka yake akiwa Maka, na mwisho kuhamia kwake Madinaalipoweka msingi wa Uislamu kama jeshi lenye nguvu. |