Home
Links
Contact
About us
Impressum
Site Map?


Afrikaans
عربي
বাংলা
Dan (Mande)
Bahasa Indones.
Cebuano
Deutsch
English-1
English-2
Español
Français
Hausa/هَوُسَا
עברית
हिन्दी
Igbo
ქართული
Kirundi
Kiswahili
മലയാളം
O‘zbek
Peul
Português
Русский
Soomaaliga
தமிழ்
తెలుగు
Türkçe
Twi
Українська
اردو
Yorùbá
中文



Home (Old)
Content (Old)


Indonesian (Old)
English (Old)
German (Old)
Russian (Old)\\

Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 029 (Christ’s miraculous conception)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA TATU: FAHAMU KRISTO MUISLAMU
SURA YA SITA: KRISTO KATIKA UISLAMU

6.1. Kutungwa mimba kwa Kristo kimuujiza


Tunasoma ndani ya Qur’an jinsi ambavyo Mariamu alipata ujaa uzito wa Yesu kupitia kutembelewa na malaika Jibril (Gabriel):

“Na Mariamu ,binti wa Imrani,aliyelinda ubikira wake na tukampulizia humo kutoka roho yetu, na akayasadiki maneno ya Mola wake Mlezi na vitabu vyake na alikuwa miongoni mwa watiifu” (Qur’an 66: 12)

Mfafanuzi wa Qur’an na mwanazuoni Ibn Kathir anasema:

“Tukampulizia ndani yake (sehemu ya siri) humo Ruh yetu inamaanisha, Kupitia malaika Jibril. Allah alimtuma malaika Jibril kwa Mariamu, na akaenda kwake katika umbo la mwanamme kwa heshima zote. Allah akamuamuru yeye kupuliza katika uwazi wa nguo yake na pumzi hiyo ikaenda katika tumbo lake kupitia sehemu zake za siri; hivi ndivyo Isa alivyotungwa mimba” (Ibn Kathir, Qur’an commentary juu ya 66:12)

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 10, 2024, at 12:21 AM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)