Home
Links
Contact
About us
Impressum
Site Map?


Afrikaans
عربي
বাংলা
Dan (Mande)
Bahasa Indones.
Cebuano
Deutsch
English-1
English-2
Español
Français
Hausa/هَوُسَا
עברית
हिन्दी
Igbo
ქართული
Kirundi
Kiswahili
മലയാളം
O‘zbek
Peul
Português
Русский
Soomaaliga
தமிழ்
తెలుగు
Türkçe
Twi
Українська
اردو
Yorùbá
中文



Home (Old)
Content (Old)


Indonesian (Old)
English (Old)
German (Old)
Russian (Old)\\

Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 042 (Christ knows the unknown)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA TATU: FAHAMU KRISTO MUISLAMU
SURA YA SABA: MIUJIZA YA KRISTO NDANI YA QUR’AN

7.4. Kristo anajua mambo ya siri yasiojulikana


Katika Qur’an Kristo anasema:

“Nawaambieni yale mnayokula na mliyoweka akiba kwenye nyumba zenu” (Qur’an 3:49)

Kama ilivyo kwa mambo mengi mengine katika Qur’an, tunapata habari isiyokamilika inayohitaji kufafanuliwa na wafafanuzi ingawa hii inaonekana kuweza kusimuliwa na Kristo mtu mzima, (alipokuwa akihutubia Waisrael) Mfafanuzi mwanazuoni mmoja, Tabari anasimulia haya:

“Isa alikuwa akiwaambia watoto shuleni juu ya kile wazazi wao walikuwa wanafanya na walivyoweka akiba au kula, angeweza kumwambia kijana yoyote, nenda nyumbani, familia yako inaficha hiki na hiki. Mtoto angeenda nyumbani kuuliza walichokuwa wakificha, angelia hadi wampatie. Walipomuuliza mtoto nani amemwambia, alisema ni Isa, kisha wazazi walisema usicheze na huyo mchawi, Waliwazuia watoto kucheza naye. Ilipotokea watoto wamekusanyika katika nyumba wakicheza na atokee kucheza nao. Aliambiwa hakuna mtu hapa. Alipouliza hizi kelele zinazokuja kutoka nyumbani ni za nini? Walimwambia ni za nguruwe. Isa alisema ni hakika ni za nguruwe na punde watoto wote waligeuka kuwa nguruwe kweli” (Tabari, Qur’an Commentary juu ya 3:49).

Hapa tunaona Isa akifanya muujiza usiokuwa na maana yoyote zaidi ya kuadhibu wasio na hatiya.

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 10, 2024, at 08:13 AM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)