Home
Links
Contact
About us
Impressum
Site Map?


Afrikaans
عربي
বাংলা
Dan (Mande)
Bahasa Indones.
Cebuano
Deutsch
English-1
English-2
Español
Français
Hausa/هَوُسَا
עברית
हिन्दी
Igbo
ქართული
Kirundi
Kiswahili
മലയാളം
O‘zbek
Peul
Português
Русский
Soomaaliga
தமிழ்
తెలుగు
Türkçe
Twi
Українська
اردو
Yorùbá
中文



Home (Old)
Content (Old)


Indonesian (Old)
English (Old)
German (Old)
Russian (Old)\\

Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 065 (CHAPTER TWELVE: A BRIEF COMPARISON OF TOPICS IN THE BIBLE AND THE QUR’AN)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA NNE: FAHAMU VIKWAZO VYA KIISLAMU DHIDI YA INJILI

SURA YA KUMI NA MBILI: ULINGANIFU MFUPI WA MADA KATIKA BIBLIA NA QUR’AN


Sura hii haitajadili maeneo haya kwa undani; ni kwa ajili ya kukupa muhtasari. Nitapanua maeneo ya kutokukubaliana katika sura inayofuata, kwa sababu inaelekea huko ndio eneo kubwa la mjadala wenu utakazia.

Kuna maeneo machache Waislamu hawayapi umaanani, na inaweza kuchukua mda kutengenisha mtandao wao wa imani. Ni wazo nzuri kuuliza maswali na jaribu sana kutokutoa changamoto dhidi ya majibu yao mara kwa mara. Waislamu watajaribu kutoa majibu ambayo wanafikiri yanashawishi, lakini hiyo haimaanishi kwamba wanaona majibu hayo kama yanashawishi. Hata kama unayeongea anakwepa na kubadilisha swali lako, watajua kwamba wamekwepa swali na wataanza kufikiria juu yake au kuuliza juu ya swali hilo baadaye. Napendekeza hivyo basi kutokuogopa sana kuhusu kushinda kila mjadala wa maana, kwa sababu inaweza kutokuzaa matunda (Tunaweza kumpoteza mtu) na haina hata umuhimu.

Sasa ngoja niorodheshe mambo ya msingi ambayo Waislamu wanaamini na sisi Wakristo tunakubaliana nayo, Yale tusiyokubaliana nayo, na misngi mikuu ya hoja za Kikristo ambayo Uislamu hausemi chochote. Hata hivyo nataka kutambua Kibiblia na kitheolojia hatuna chochote cha kukubaliana na Waislamu:

“Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuuzi, bali kwtu tunaokolewa ni nguvu ya Mungu.” (1Wakorintho 1:18)

Kutokubaliana kwetu ni juu ya mtazamo wa dunia zima ambao unapinga imani zingine tunalizo nazo, hivyo tunapokubaliana na wasilamu juu ya kitu chochote lazima tukipe umuhimu, na tuulize kwa nini tunakubaliana juu ya baadhi ya vitu na kuangalia vinatupeleka wapi.

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 10, 2024, at 01:36 PM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)