Home
Links
Contact
About us
Impressum
Site Map?


Afrikaans
عربي
বাংলা
Dan (Mande)
Bahasa Indones.
Cebuano
Deutsch
English-1
English-2
Español
Français
Hausa/هَوُسَا
עברית
हिन्दी
Igbo
ქართული
Kirundi
Kiswahili
മലയാളം
O‘zbek
Peul
Português
Русский
Soomaaliga
தமிழ்
తెలుగు
Türkçe
Twi
Українська
اردو
Yorùbá
中文



Home (Old)
Content (Old)


Indonesian (Old)
English (Old)
German (Old)
Russian (Old)\\

Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 067 (Areas of disagreement)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA NNE: FAHAMU VIKWAZO VYA KIISLAMU DHIDI YA INJILI
SURA YA KUMI NA MBILI: ULINGANIFU MFUPI WA MADA KATIKA BIBLIA NA QUR’AN

12.2. Maeneo ya kutokukubaliana


  • Qur’an ndio kitabu cha mwisho kutoka kwa Allah, haikuwahi kuumbwa na cha milele; kila neno na kila andiko imeandikwa katika wanachokiita “Sahani iliyotunzwa” na hii ni nguzo ambayo Waislamu wanaichukulia kama ya Kwanza.
  • Yesu alitumwa kwa waisraeli na kitabu kinachoitwa Injili. Kitabu hicho kimebadilishwa, pamoja na Torati, hata hivyo Uislamu hauko wazi na nini inamaanisha kwa kusema Torati, saa zingine wanamaanisha vitabu vitano vya Musa na wakati mwingine wakimaanisha Agano la kale lote.
  • Manabii wote na mitume hawana dhambi, Waislamu basi wana wakati mgumu kuelezea dhambi za baadhi ya manabi katika Qur’an na hadith.
  • Hakuna dhambi ya asili, na kila anayezaliwa anazaliwa akiwa hana hatiya na asiyekuwa na dhambi.
  • Kristo ni mwanadamu wa kawaida, Waislamu wanaamini kwamba Yesu hajawahi kudai kuwa Mungu, na kwamba Wakristo(Hasa Mtume Paulo) ndiyo waliomfanya kuwa Mungu.
  • Allah hawezi kuwa mwanadamu, kutwaa utu kumekataliwa kabisa.
  • Kuamini katika utatu ni namna ya ushirikina ambayo ni dhambi pekee isiyoweza kusamahewa.
  • Kristo bado yuko hai mbinguni na atakuja tena kabla ya siku ya mwisho.
  • Kila kitu kwenye Biblia, licha ya baadhi ya aya zinazoweza kugeuzwa kuonyesha kwamba Muhammad alitabiriwa kwenye Biblia imekataliwa. Waislamu wanasema kwamba chochote kwenye sehemu ambayo Biblia inakubaliana na Qur’an hawakihitaji, na chochote ambacho haikubaliani na Qur’an hawakiamini.

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 10, 2024, at 01:41 PM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)