Home
Links
Contact
About us
Impressum
Site Map?


Afrikaans
عربي
বাংলা
Dan (Mande)
Bahasa Indones.
Cebuano
Deutsch
English-1
English-2
Español
Français
Hausa/هَوُسَا
עברית
हिन्दी
Igbo
ქართული
Kirundi
Kiswahili
മലയാളം
O‘zbek
Peul
Português
Русский
Soomaaliga
தமிழ்
తెలుగు
Türkçe
Twi
Українська
اردو
Yorùbá
中文



Home (Old)
Content (Old)


Indonesian (Old)
English (Old)
German (Old)
Russian (Old)\\

Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 088 (Existing marriage to a Muslim)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA SITA: FAHAMU WAONGOFU KUTOKA UISLAMU
SURA YA KUMI NA NNE: SHIDA ZA KIJAMII WANAZOKU TANA NAZO WAONGOFU WAPYA

14.4. Ndoa inayoendelea kuwa hai na Muislamu


Waongofu ambao tayari wameshaoa nao wanakutana na mpangilio mwingi wa matatizo. Tunaweza kuwa na Mwanamme mwenye mitaala (Wake wengi) anaongoka nao au bila yoyote kati yao au pamoja na zaidi ya mke mmoja na anaweza kuwa tayari ana watoto nao. Au tunaweza kuwa Mwanamke mwenye ndoa anaongoka bila mme wake. Matatizo haya yajadiliwe na kanisa mahalia na katika maudhui ya Kanisa nzima lote (Ni aina ya mjadala ambao tunatakiwa kuwa nao kwenye vyuo vyetu na sinodi). Lakini katika ngazi ya mahalia, Lazima tuwe makini sana na magumu yatakayoletwa na jambo hili na kwa kutoa msaada wa Kimwili, Kihisia na Kiroho.

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 11, 2024, at 02:56 AM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)