Home
Links
Contact
About us
Impressum
Site Map?


Afrikaans
عربي
বাংলা
Dan (Mande)
Bahasa Indones.
Cebuano
Deutsch
English-1
English-2
Español
Français
Hausa/هَوُسَا
עברית
हिन्दी
Igbo
ქართული
Kirundi
Kiswahili
മലയാളം
O‘zbek
Peul
Português
Русский
Soomaaliga
தமிழ்
తెలుగు
Türkçe
Twi
Українська
اردو
Yorùbá
中文



Home (Old)
Content (Old)


Indonesian (Old)
English (Old)
German (Old)
Russian (Old)\\

Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 087 (Children)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA SITA: FAHAMU WAONGOFU KUTOKA UISLAMU
SURA YA KUMI NA NNE: SHIDA ZA KIJAMII WANAZOKU TANA NAZO WAONGOFU WAPYA

14.3. Watoto


Inapokuja kwa watoto, kuna mpangilio wa matatizo. Katika maisha yangu binafsi, moja ya nyakati ngumu sana katika maisha yangu ni pale binti yangu anapoongelea familia yake. Amekuwa bila kujua chochote kuhusu upande wangu wa familia, ni upande wa mama yake tu anaojua ( maana mke wangu alizaliwa katika familia ya Kikristo). Kwenye mazingira ambapo wana ndoa wote ni Waongofu, watoto wanakuwa bila kujua familia za pande zote na hii inaweza kuwa ngumu sana kwao. Hapa ndipo kanisa linaweza kuwa msaada mkubwa sana, kwa kuwajumuisha waongofu kama sehemu ya familia yao; Ndio inaweza kuwa ngumu, lakini sio jambo lisilowezekana.

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 11, 2024, at 02:55 AM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)