Home
Links
Contact
About us
Impressum
Site Map?


Afrikaans
عربي
বাংলা
Dan (Mande)
Bahasa Indones.
Cebuano
Deutsch
English-1
English-2
Español
Français
Hausa/هَوُسَا
עברית
हिन्दी
Igbo
ქართული
Kirundi
Kiswahili
മലയാളം
O‘zbek
Peul
Português
Русский
Soomaaliga
தமிழ்
తెలుగు
Türkçe
Twi
Українська
اردو
Yorùbá
中文



Home (Old)
Content (Old)


Indonesian (Old)
English (Old)
German (Old)
Russian (Old)\\

Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 098 (Preach the whole counsel of God)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA SITA: FAHAMU WAONGOFU KUTOKA UISLAMU
SURA YA KUMI NA TANO: USHAURI KWA KANISA

15.7. Hubiri Shauri lote la Mungu


Mara nyingi tuna hatiya ya kuhubiri Ukristo wa upande mmoja tu, ambayo inatoa ahadi ya amani na faraja huku tukipuuza ukweli wa mateso na magumu, kwa sababu hiyo, matatizo yakitokea inakuwa ngumu namna ya kushughulika nayo.

Yatupasa tukumbuke siku zote, Mungu anapotupa agizo, anatupa pia nguvu ya kulifanya. Tumeahidiwa kwa ahadi nyingi kutumiwa kwa nguvu za Mungu kwa ajili ya kuenea kwa Ufalme wake kama tu tuko waaminifu. Hatujaambiwa kufanikiwa kwa kupata matokeo fulani tu maalumu, lakini kuwa watiifu na waaminifu kwa Mfalme wetu. Ndio, shida zinaweza kuja na ndio tutateseka, lakini ni sehemu ya kukombolewa kwetu. Tunatakiwa kukumbuka kwamba tunaye Mfalme ajuaye kuteseka kwetu.

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 11, 2024, at 03:06 AM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)