Home
Links
Contact
About us
Impressum
Site Map?


Afrikaans
عربي
বাংলা
Dan (Mande)
Bahasa Indones.
Cebuano
Deutsch
English-1
English-2
Español
Français
Hausa/هَوُسَا
עברית
हिन्दी
Igbo
ქართული
Kirundi
Kiswahili
മലയാളം
O‘zbek
Peul
Português
Русский
Soomaaliga
தமிழ்
తెలుగు
Türkçe
Twi
Українська
اردو
Yorùbá
中文



Home (Old)
Content (Old)


Indonesian (Old)
English (Old)
German (Old)
Russian (Old)\\

Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 099 (Be patient and understanding)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA SITA: FAHAMU WAONGOFU KUTOKA UISLAMU
SURA YA KUMI NA TANO: USHAURI KWA KANISA

15.8. Kuwa mvumilivu na mwelewa


Mambo yaliyoingia ndani sana. Yanachukua mda kubadilika. Mara nyingi Muongofu wa Kiislamu- kama ilivyo kwa muongofu yoyote Yule- watajikita katika kufikiri wakati wote kipi kitawatokea na kipi hakiwezi kuwatokea. Inachukua mda- wakati mwingine hata miaka- kukomaa kwa kiwango ambacho tunaweza kumwamini Mungu kwa chochote kitakachotekea. Tabia ya zamani inakufa kwa shida; Waislamu wanaweza kutumia miaka yote ya maisha yao kufikiri kipi kinaweza kuwatokea- Kwa sababu mausihihano yao na Allah yamejikita kwenye hilo tu- Kipi kinaenda kutokea kwangu? Qur’an inasema:

“Hakka wale wanaoziamini aya zetu ni hao tu ambao wakikumbushwa hizo, basi wao huanguka na kusujudu, humsabahi Mola wao Mlezi kwa Kumhimidi, nao hawajivuni. Mbavu zao zinaachana na vitanda kwa Kumuomba Mola wao Mlezi kwa khofu na kutumaini, na hutoa kutokana na tulivyo waruzuku.” ( Qur’an 32:15-16)

Weka akilini kwamba mwongofu mpya, mahusihano yao ya zamani na Allah yalijengwa katika hofu ya kuadhibiwa na matumaini ya thawabu, ni kama katika kila mfumo wa kazi na haki. Baadhi ya wanatheolojia wanafikiri kwamba aya kama za Matendo 9:16 (“ Maana nitamwonyesha yalivyo mengi yatakayompasa kuteswa kwa ajili ya jina langu”) ni ahadi ambayo iliyoahidiwa kwa kila mwamini, hivyo mwongofu mpya kutoka Uislamu atakuwa anajiuliza lini mateso yatatokea, sio labda, lazima! Hisia hizi zinaeleweka vizuri lakini inasababisha kutazama kila kitu katika mtazamo hasi. Hisia kama hizo zinaweza kuisha kwa mda lakini zinaweza kuongezeka na kugeuka kuwa wazimu. Mtu anaweza kuanza kutengwa na kupata shida kuwa na mahusihano mapya. Wakati mwingine mtazamo wa wakristo hausaidii sana. Kinachohitajika ni kwa baadhi ya Waamini waliokomaa kumuongoza mtu kuanzia mwanzo wa maisha yao ya Kikristo.

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 11, 2024, at 03:09 AM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)