Home
Links
Contact
About us
Impressum
Site Map?


Afrikaans
عربي
বাংলা
Dan (Mande)
Bahasa Indones.
Cebuano
Deutsch
English-1
English-2
Español
Français
Hausa/هَوُسَا
עברית
हिन्दी
Igbo
ქართული
Kirundi
Kiswahili
മലയാളം
O‘zbek
Peul
Português
Русский
Soomaaliga
தமிழ்
తెలుగు
Türkçe
Twi
Українська
اردو
Yorùbá
中文



Home (Old)
Content (Old)


Indonesian (Old)
English (Old)
German (Old)
Russian (Old)\\

Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 011 (The Meccan Years)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA KWANZA: UFAHAMU MWANZO WA UISLAMU
SURA YA PILI: MAISHA YA MUHAMMAD

2.3. Miaka ya Maka


Wakati wa miaka yake ya awali hii, ujumbe wa Uislamu kimsingi ulikuwa hofu ya Allah na kutenda mema. Kulikuwa na hakukuwa na tofauti kubwa sana ya mafundisho ya Uislamu wakati huu, Kwa uhalisia imani ya Muhammad haikutofautiana na ile Wayahudi na Wakristo walioishi eneo hilo.Hakuwa na muitikio chanya kwa wasiokuwa Waislamu wala hakujenga chuki juu yao. Alihubiri kuhusu usawa miongoni mwa Waislamu ( aangalau kwa wanaume). Ujumbe huu haukuwaridhisha jamii ya Maka, kwanza kwa sababu makabila yao yalikuwa ya kitajiri na yenye nguvu na hakuwa tayari kujilinganisha na watu wenye hadhi ya chini ( Ikjumuisha watumwa, wafanyabishara wageni na kadhalika, na pili kwa sababu walikuwa wakifaidika sana kwa ajili kuwatunza mahujaji waliosafiri kuja Maka.

Hata hivyom licha ya kutokupokelewa kwaujumbe wake, Muhammad bado alikuwa na ulinzi wa ukoo wake, ashukuriwa ushawishi mkubwa aliokuwa nao baba yake mdogo, basi akaishi Maka na ndugu zake kwa amani,akikusanya idadi ndogo ya wafuasi kwenye dini yake mpya huko. (Wengi wao walikuwa watumwa, Waarabu masikini, na wachache kutoka makabila tajiri)

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 08, 2024, at 03:27 AM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)