Home
Links
Contact
About us
Impressum
Site Map?


Afrikaans
عربي
বাংলা
Dan (Mande)
Bahasa Indones.
Cebuano
Deutsch
English-1
English-2
Español
Français
Hausa/هَوُسَا
עברית
हिन्दी
Igbo
ქართული
Kirundi
Kiswahili
മലയാളം
O‘zbek
Peul
Português
Русский
Soomaaliga
தமிழ்
తెలుగు
Türkçe
Twi
Українська
اردو
Yorùbá
中文



Home (Old)
Content (Old)


Indonesian (Old)
English (Old)
German (Old)
Russian (Old)\\

Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 012 (Mohammed’s move to Madina and the establishment of Islam as a military force)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA KWANZA: UFAHAMU MWANZO WA UISLAMU
SURA YA PILI: MAISHA YA MUHAMMAD

2.4. Kuhama kwa Muhammad kwenda Madina na kuweka msingi wa Uislamu kama jeshi la nguvu


Miaka kumi na tatu ya taarifa za Muhammad kwamba anaona maono ya kutoka kwa malaika, Khadija akafa. Kipindi cha maisha yake, Muhammad hakuwahi kuoa mke wa pili. Punde tu baada ya kifo cha Khadija,ingawa alioa mjane aliyeitwa Sauda,lakini wakati angali kwenye ndoa naye akamuoa mke mwingine binti mdogo aliyeitwa Aisha.

Hii sio jambo pekee lilibadilika kwa kiasi kikubwa baada ya kifo cha Khadija, baba yake mdogo Muhammad akafuatia kufa mda kidogo baadaye, na kwa kufa kwake, Muhammad akapoteza ulinzi aliokuwa nao. Wengine wote katika ukoo wake walibaki wapagani na washirikiana, na kwa sababu hakukuwa na upendo wowote uliobaki baina yao na Muhammad, Kwa sababu hiyo, Muhammad akaondoka Maka pamoja na wake na wafuasi wake kama sabini hivi, Aliendelea kuoa na kuongeza iadadi ya wakeze hadi wakafikia kati ya 11 na 15 ( idadi inategemea chanzo cha taarifa) kwa wakati mmoja. Baadhi aliwapa talaka,hivyo kwa jumla yake inasimuliwa kwamba alikuwa na wake kati ya 15 na 25.

Kwa nini Muhammad alichagua Madina kama mahali pa kuhamia?Kama ilivyoonyeshwa awali, ndugu zake Muhammad upande wa mama yake yake wote walikuwa ni wakazi wa Madina, Ijapokuwa yeye binafsi hakuesabiwa na mmoja wapo wa koo zao. (Wenyeji wa eneo walikuwa mfumo dume madhubuti), hata hivyo walimpatia kiwango cha ulinzi katika makazi yake haya mapya. Pia kulikuwa na baadhi ya makabila ya kiarabu katika mji huu waliomtambua kama mtume. (japo kiuhalisia walikuwa hawajasilimu kujiunga na dini ya Kiislamu). Hata kabla ya kuhama, alikuwa akitambulika kama kiongozi anayeongoza baadhi ya watu stadi, aliombwa kuwapatanisha makabila mawili yaliyokuwa na ugomvi Madina, Banu Khazraj na Banu Aws. Alipowapatanisha, wakazika chuki, na kutoa ahadi ya utii kwake na kwa dini. Wakajukilana kama Ansar, au wasaidizi wa Muhammad.

Madina ilikuwa na mpangilio wa maisha ya kijamii unaoshangza. Ilikuwa na makabila makubwa mawili ya Waarabu, Banu Khazraj na Banu Aws. Kulikuwa na pia makabila machache ya Wayahudi: Banu Qurayza, Banu Qaynuqa na Banu Nadir. Haya makabila ya Wayahudi walihamia eneo hili karine kadhaa zilizopita kutoka Mashariki ya kati, wakaweza makazi ya kudumu miongoni Uarabuni, wakishughulika zaidi na biashara pamoja na utengenezaji wa vito vya thamani kama madini.

Kuhamia Madina kusababisha mabadiliko makubwa sana, sio ya eneo tu bali na mafundisho pia. Umuhimu wa kuhama huku ni mkubwa kwa kaisi ambacho ndio inayochukuliwa kama mwanzo wa kalanda ya Kiislamu (Inaitwa kalenda ya Hijra, neno la Kiarabu linalomaanisha “Kuhama”),na wale waliohama pamoja naye wakaja kujulikana kama Muhaajiruun (Wahamiaji), na ndio hadi leo wanazingatiwa kwa hadhi ya juu zaidi miongozi mwa Waialsmu kwa kutambua magumu na mateso yanayosimuliwa walipata wakiwa Maka.

Mara tu Muhammad alihama Maka, dini ya upendo na amani aliokuwa akihubiri ilikoma na mafundisho yake yakachukua mkondo tofauti kabisa. Qur’an – japo ilikuwa haijakamilika na kukusanywa hadi badaye sana-ina kumbukumbu za mafundisho ya Muhammad ya nyakati zote,na kuna tofauti iliyo wazi baina ya zinazojukikana kama sura za Maka, na Sura za madina ambazo zinasomeka kana kwamba ni muongozo wa vita hasa Muhammad alivyobadilika kutoka kuwa mhubiri wa Kiroho na kuwa jenerali katili wa kijeshi.

Mda kidogo ya Hijrah, kulikuwa na njaa Madina na ardhi haikuwa na uwezo tena wa kuhimili idadi kubwa ya ongezeko la watu. Matokeo yake Muhammad alipofika tu, akagundua kwamba hakukuwa na chakula cha kutosha kwa ajili yake na wafuasi wake ( au kwa ajili ya makabila yaliyokuwa pale). Punde tu baada kufika na kutukia Madina, alijaribu kuvamia misafara ya Kibishara ya Wakureshi iliyokuwa inasafiri kutoka Maka na kushindwa. Ndipo ilipofika Mwezi wa tatu mwaka 624 BK (Mwaka wa pili baada Hijrah), akapanga kuvamia msafara wa Kibishara uliokuwa ukiongozwa na Abu Sufyan ibn Harb- Mmmoja wa viongozi wa kabila Wakureshi wa Maka ambayo baba yake alitokea- msafara huu ulikuwa ukiridu kutoka Siria. Abu Sufyan aligundua mpango wa kuvamiwa kabla kutoka wajakazi wake, na akatuma ujumbe Maka kuomba msaada. Wakureshi wakatuma usadizi wa wapiganaji kama elfu moja hivi; hata hivyo, Abu Sufyan ibn Harb abadilisha njia na akafanikiwa kuepuka mashambulizi ya kuvizia. Hata hivyo, watu wa Maka akaamua kusonga mbele kumakabili Muhammad kwa vyo vyote. Majeshi mawili takakutana katika kisima cha Badr (Maili 70 kusini magharibi mwa Madina). Jeshi la Wakureshi lilikuwa na iadadi kubwa ya wanajeshi mara tatu kuliko jeshi la Waislamu, bado Waislamu wakashinda vita hivi na kuweza kumiliki chanzo chan, Kisima.

Ushindi huu kwenye mapiagano yao kwanza ya kivita yalibadilisha mambo mengi sna akatika dola hii mpya ya Kiislamu. Kwa sasa Waislamu waliona uwezekano wa kushinda vita dhidi jeshi kubwa kuliko yao, na waliona uwezekano wa kuanzika mashambulizi dhidi ya Maka na washirika wao. Hivyo katika kipindi cha mwaka baada ya vita vya Badr, Waislamu walianzisha mashambulizi dhidi ya waliokuwa wakimkosoa sana- lengo halikuwa tena kupata chakula suluhisho la njaa (Kama ilivyo kusudi lao katika uvamizi wa awali kwa miasafara ya Kibiashara) bali kwakunyamazisha upinzani dhidi ya mafundisho ya Kiislamu.

Miongoni mwa mashambuli hayo kama yale yalifanyika dhidi ya mtu aliyeitwa Abu Afak na dhidi ya mwanamke aliyeitwa Asma Bint Marwan. Abu Afak alikuwa ni kipofu, na mzee na aliandika shairi la kumshutumu Muhammad kwa njia zake vurugu; hakuwa na dhara yoyote ya kimwili kwa Muhammad, nab ado Muhammad, kwa kutokuwa ustamiivu kwa wanaomkosoa, aliagiza auwawe. Baadhi ya vyanzo vya Kiislamu vya leo vinajaribu kuhalalisha kuuwawa kwake, kwa kudai kwamba sio kwa sababu ya kuandika shairi ya kumkosoa bali kwa sababu ya kuchochea vita dhidi yake. Hata hivyo hakuna ushahidi juu ya hili; Nukuu ya maneno ya Kiarabu yaliyoandikwa na mwa historia Ibn kathir yanayotumika kuunga mkono hoja hii imehaririwa sana kwa ajili kuondoa ukweli kwamba Abu Afak alikuwa ni mzee na mshairi mwenye miaka 120, na kwamba kazi haikuwa wito wa vita (nneo linalotumiwa na Ibn Kathir ambayo inatafisiriwa kama “ kuchochea vita” –harrid- siku zote inaeleweka kwa mtazamo chanya inapotumika kwenye Qur’an ikimaanisha “kutia moyo”, “kuamshwa”, “Kuongoza” au “kuhamasishwa”) na hivyo basi hakukuwa na sababu yoyote ya kudhani kwamba maudhui haya neno hili ilikuwa na maana nyingine. Hiyo ndio njia mwafaka wa kujibu pingamizi kama unatakiwa kuondoa ushahidi dhidi ya hoja yako aidha kwa kutoa tafsiri isiyo sahihi au kwa kuondoa ushahidi unaoweza kupinga. Mbinu hii ya utandikaji kitanda holela inayolazimisha ulinganifu kamili ni kitu cha kawaida sana kwa watetezi wa Uislamu, ambapo kiwango holela unatumika kulazimisha matokeo yanayotakiwa.

Taarifa za mauaji yalipoonea, mwanamke aliyetwa Asma Bint Marwan akaandika shairi kushutumu tendo hilo la wafuasi wa Muhammad. Aliposikia hilo, akawauliza wafuasi wake “Ni nani atakaye niondelea Bint Mrwan?” Miongoni mwa wafuasi wake aliyekuwa kabila moja na Asma; akaenda kumuua usiku na kutoa taarifa hiyo kwa Muhammad siku iliyofuata.Muhammad akasifu tendo la kumua huyo mwanamke, akisema kwamba hata makalio ya mbuzi wawili wasingeweza kuinua vichwa vyao kuombeleza kifo chake., Na hii, ndio ilkuwa njia ya Muhammad;Asma Bint Marwan kama ilivyo kwa Abu Afak, wakuwa wapiganaji vitani au wanajeshi lakini wakosaji tu. Na bado aliamuru auwawe usiku huku amelala.

Mauaji ya Asma Bit Mrwan yaliweka ishara ya mabadiliko makubwa katika uongozi wa Muhammad. Kabla ya hapo watu kabla lake waliokuwa wakimfuata Muhammad walifanya siri, Sasa walijionyesha wazi juu ya imani yao mpya na na kabila nzima kma inavyotaarifiwa na mwana historia Ibn Hisham kwamba “Waliona nguvu ya Uislamu” na kujiunga nayo (ingawa labda kwa kuvutiwa au hofu hatuwezi kusema).

Vile Muhammad alivyoendelea kuvamia na kushambulia wapizani wake, Akaanza kuwa makini na kabila mojawapo ya Kiyahudi iliyokuwa Madina, Banu Qaynuka. Wana historia hawakubaliani juu ya sababu ya uchokozi na chuki ya Waislamu dhidi ya Wayahudi; baadhi ya simulizi zinadai kwa sababu vijana wa Kiyahudi walimtishia na kumbughudhi mwanamke mmoja MUislamu, lakini wengine wanasema Wayahudi walimdhihaki Mtume asifikirie kwamba anaweza kupigana nao kisa tu eti amewashinda Wakureshi (Safiurahman, The Sealed Nectar). Awali, Muhammad alitaka kuuwa watu wote wa kabila hilo lakini hatimaye alishawishiwa na mmojawapo wa machifu wa Madina (Abdullah ibn Ubayy ibnSalul)kuwafukuza kabila nzima kutoka Madina. Muhammad akawanyng’anya mali zao zote na vyote walivyokuwa navyo kisha kuwagawia wafuasi wake, yeye binafsi kuchukua sehemu ya tano ya vitu vyote vilivyonyang’anywa.

Muhammad aliendeleza mashambuliz madogo madogo hadi ilipofika mwezi wa tatu mwaka 625 BK wakati Wakureshi walipoamua kulipiza kisasi na kusonga dhidi ya Muhammad wakiwa na jeshi imara ya wapigananji 3000 iliongozwa na Abu Sufyan, Khalid al-Walid, na Amr ibn al-As (ambaye badaye alisilimu na kuwa Muislamu baada ya kushindwa kwao) . Vita vilipiganwa Jumamosi tarehe 23 mwaka 625 katika bonde liliopo mbele ya Mlima Uhud kaskazini mwa Madina. Magari ynayovutwa na farasi 200 kwa umbali yalizidi idadi ya waislamu kwa ulinganifu wa 4 kwa 1. Vita hivi kwa ujmla uchukuliwa kwamba Waislamu walishindwa, hata Qur’an inakiri hivyo:

Na yaliyokusibuni siku yalipopambana majeshi mawili yalikuwa kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, ili awajue Waumini. Na awapambanue walio wanafiki, wakaambiwa: Njooni mpigane katika njia ya Mwenyezi Mungu au linden. Wakasema: Tungelijua kuna kupigana bila shaka tungelikufuateni. Wao siku ile walikuwa karibu na ukafiri kuliko imani.Wanasema kwa midomo yao yasiyo kuwamo nyoyoni mwao. Na Mwenyezi Mungu anajua kabisa wanayo yaficha. Hao ndio waliowaambia ndugu zao na wao wenyewe wakakaa kitako: Lau wangetutii wasingeuliwa.Sema: Ziondeleeni nafsi zenu mauti kama mnasema kweli. (Qur’an 3:166-168)

Wakati vita vinaendela Muhammad alijeruiwa na jino lake moja likavunjika, baba yake mdogo Hamzah ibn Abdul –Mttalib, aliuwawa, licha ya kushindwa, hata hivyo, vita hivi vimpa Muhammad nafasi kuonyesha uwezo wake kama jenerali makini wa jeshi kwa kuchagua sehemu za kimkakati vya Uhud., Ndivyo dhana ya matumizi ya nguvu ya silaha ndani ya Uislamu ulivyoasisiwa na ukapata msingi imara kwenye vita vyote katika dola mpya ya Kiislamu. Hii ina inafikisha Uismau katika hatua mbayo Muhammad alianza kutegemea matumizi ya jeshi katika kueneza dini yake mpya.

Katika miaka michache iliyofuata Muhamaad alimalizana na makabila ya Wayahudi waliobakia Madina kwa kuwafukuza Kabila la Banu Nadir, na kuwauwa wanaume wote wa kabila la Banu Qurayza na kisha kuwachukua wanawake na watoto kuwa watumwa. Mwishoni, mnamo 639 BK (miaka miwili kabla ya kifo chake), Alivamia Maka na kuteka mji alimozaliwa uliomkataa yeye na ujumbe wake.

Baada ya kifo cha Muhammad, Waislamu waliendeleza kupanua nguvu za kijeshi na katika kipinndi cha karine kadhaa walianzisha himaya iliyoanzia Kusini mwa Ufaransa ktika Magharibi hadi India Mashariki, Kutoka Armenia kasikazini hadi Yemeni Kusini.

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 08, 2024, at 06:05 AM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)