Home
Links
Contact
About us
Impressum
Site Map?


Afrikaans
عربي
বাংলা
Dan (Mande)
Bahasa Indones.
Cebuano
Deutsch
English-1
English-2
Español
Français
Hausa/هَوُسَا
עברית
हिन्दी
Igbo
ქართული
Kirundi
Kiswahili
മലയാളം
O‘zbek
Peul
Português
Русский
Soomaaliga
தமிழ்
తెలుగు
Türkçe
Twi
Українська
اردو
Yorùbá
中文



Home (Old)
Content (Old)


Indonesian (Old)
English (Old)
German (Old)
Russian (Old)\\

Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 045 (CHAPTER NINE: BARRIERS FOR CHRISTIANS TO OVERCOME WHEN EVANGELISING MUSLIMS)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA NNE: FAHAMU VIKWAZO VYA KIISLAMU DHIDI YA INJILI

SURA YA TISA: VIKWAZO VYA WAKRISTO KUSHINDA WANAPOWAINJILISHA WAISLAMU


Inapokuja suala la kumtambulisha Kristo wa waislamu hakuna anayeweza kukanusha ugumu wa kazi hiyo. Wengine wamezingatia kama jambo lisilowezekana kabisa. Ingawa japo nakubaliana na ugumu wa kazi yenyewe, lakini siichukulii kama kazi isiyowezekana kwa namna yoyote ile.

Kwa ugumu wa kazi yenyewe, kuna sababu nyingi kwa ajili ya ugumu huo. Baadhi ya sababu hizi vinatokana na Mkristo mwenyewe, na hizi ndizo ambazo tutaziangazia kwanza. Katika sura zinazofuata tutaangazia hizi sababu za ugumu zinazoleta changamoto kwa Waislamu, ambazo kwa pamoja ni muhimu na zenye msaada kwa Wakristo kuwa na tahadhari nazo. Lakini kwaza na tuzingatie swali la kwa nini tunapaswa kumtambulisha Kristo kwa Waislamu.Je tuna uchaguzi, au ni jambo ambalo sisi wakristo tunaweza kulikwepa?

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 10, 2024, at 08:28 AM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)