Home
Links
Contact
About us
Impressum
Site Map?


Afrikaans
عربي
বাংলা
Dan (Mande)
Bahasa Indones.
Cebuano
Deutsch
English-1
English-2
Español
Français
Hausa/هَوُسَا
עברית
हिन्दी
Igbo
ქართული
Kirundi
Kiswahili
മലയാളം
O‘zbek
Peul
Português
Русский
Soomaaliga
தமிழ்
తెలుగు
Türkçe
Twi
Українська
اردو
Yorùbá
中文



Home (Old)
Content (Old)


Indonesian (Old)
English (Old)
German (Old)
Russian (Old)\\

Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 052 (Lack of love for Muslims)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA NNE: FAHAMU VIKWAZO VYA KIISLAMU DHIDI YA INJILI
SURA YA TISA: VIKWAZO VYA WAKRISTO KUSHINDA WANAPOWAINJILISHA WAISLAMU

9.7. Ukosefu wa upendo kwa Waislamu


Kutokana na miaka mingi ya mateso chini ya tawala za Kiislamu, mateso ambayo Wakristo wamepitia (bado wanapitia) chini ya Uislamu, Wakristo wengi wameshindwa kujitoa na kuwapenda Waislamu. Hii ina athari mbili. Kwanza, hakuna shauku na motisha. Licha ya amri ya Yesu ya kupenda maadui zetu na kuwaombea wanatutesa (Mathayo 5:44), asili ya ubinadamu wetu mara kwa mara inadunda ndani na inatokea tu kwamba hatutaki. Waislamu hawasitahili upendo wa Mungu, ndivyo tuvyosikia ndani. Pili, Wakristo wanaweza kutangaza upendo wa Mungu ikiwa wenyewe wameshindwa kupenda? Tunawezaje kuaminiwa tunaposema tunawapenda maadui zetu wakati hatuonyeshi upendo huo? Tunachohitaji ni moyo wa Kristo ambaye alipatanisha maadui zake na Mungu (Warumi 5:10).

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 10, 2024, at 11:10 AM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)