Home
Links
Contact
About us
Impressum
Site Map?


Afrikaans
عربي
বাংলা
Dan (Mande)
Bahasa Indones.
Cebuano
Deutsch
English-1
English-2
Español
Français
Hausa/هَوُسَا
עברית
हिन्दी
Igbo
ქართული
Kirundi
Kiswahili
മലയാളം
O‘zbek
Peul
Português
Русский
Soomaaliga
தமிழ்
తెలుగు
Türkçe
Twi
Українська
اردو
Yorùbá
中文



Home (Old)
Content (Old)


Indonesian (Old)
English (Old)
German (Old)
Russian (Old)\\

Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 053 (Lack of Biblical knowledge)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA NNE: FAHAMU VIKWAZO VYA KIISLAMU DHIDI YA INJILI
SURA YA TISA: VIKWAZO VYA WAKRISTO KUSHINDA WANAPOWAINJILISHA WAISLAMU

9.8. Ukosefu wa ufahamu wa Kibiblia


Wakristo wengi hawatumii mda kujifunza Ukristo, mara kwa mara kupitia uvivu au ukosefu wa mwelekeo sahihi. Kwa sababu hiyo, hawawezi kwa uimara kushiriki katika kuhubiri Injili au kujibu maswali yanayotolewa na wasio-Wakristo. Kuna haja kubwa sana ya Wakristo kujifunza Biblia, theolojia na historia na kadhalika. Kujifunza huko kutaimarisha imani yao wenyewe na kuwasaidia wawe tayari kujibu kila anayeuliza habari ya tumaini lililo ndani yao kama ilivyoamriwa na Biblia (1 Petro 3:15).

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 10, 2024, at 12:11 PM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)