Grace and TruthThis website is under construction ! |
|
Home Afrikaans |
Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 002 (CHAPTER ONE: THE REGION BEFORE ISLAM)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?
Previous Chapter -- Next Chapter 17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA KWANZA: UFAHAMU MWANZO WA UISLAMU
SURA YA KWANZA: DINI KABLA YA UISLAMUIli tuweze kufahamu athari za mafundisho ya Muhammad, tunahitaji kujua kwa uchache juu yajamii ya Kiarabu kabla ya Uislamu. Jamii hii haikuwa na usawa kwa namna yoyote ile; badala yake, eneo hilo lilikaliwa na jamii kadhaa tofauti; kila jamii na desturi zake,mazoea na imani. Hivyo basi tutaanza, kwa kutazama kila moja wapo ya makundi ya jamii hizi, kasha tutamaliza sura hii kwa kulenga zaidi eneo alilozaliwa Muhammad, mji wa kibiashara Urabuni wa Maka. |