Home
Links
Contact
About us
Impressum
Site Map?


Afrikaans
عربي
বাংলা
Dan (Mande)
Bahasa Indones.
Cebuano
Deutsch
English-1
English-2
Español
Français
Hausa/هَوُسَا
עברית
हिन्दी
Igbo
ქართული
Kirundi
Kiswahili
മലയാളം
O‘zbek
Peul
Português
Русский
Soomaaliga
தமிழ்
తెలుగు
Türkçe
Twi
Українська
اردو
Yorùbá
中文



Home (Old)
Content (Old)


Indonesian (Old)
English (Old)
German (Old)
Russian (Old)\\

Home -- Kiswahili -- 17-Understanding Islam -- 027 (CHAPTER FIVE: ISLAMIC UTOPIA)
This page in: -- Arabic? -- Bengali -- Cebuano? -- English -- French -- Hausa -- Hindi -- Igbo -- Indonesian -- KISWAHILI -- Malayalam -- Russian -- Somali? -- Ukrainian? -- Yoruba?

Previous Chapter -- Next Chapter

17. Ufahamu Uislamu
SEHEMU YA PILI: FAHAMU IMANI NA MATENDO KATIKA UISLAMU

SURA YA TANO: UTOPIA WA KIISLAMU


Ingawa kujadili imani zingine za Kiislamu ni nje ya lengo la kitabu hiki, sehemu mojawapo ya kimaadili kwa kutaja hapa katika sura hii ndogo ni: nadharia ya Utopia wa Kiislamu.

Kila falsafa au dini ina aina fulani ya nadharia ya jamii kamilifu isio na doa, Na uislamu haitofauatiani na hii. Katika kila dini na falsafa, ingawaje, jamii kamilifu isio na doa ni tarajio la kufanyia kazi ili kufikia lengo hilo. Hii ni kinyume katika Uislamu; Jamii kamilifu isio na doa ya Kiislamu tayari imekuwako kuanzia kizazi cha kwanza cha Uislamu. Muhammad alisema hili kwamba:

“Mwema miongoni mwenu ni Masahaba zangu [i.e., Walioko sasa katika kizazi hiki changu na wale watakao kuja baada yao [i.e., kizazi cha karne inayofuata].” (Sahih Bukhari)

Kuwa na nadharia ya ukamilifu wa Kiisalmu wa kizazi cha kwanza kinyume na Uislamu wa kizazi cha leo inaweza kutupa jibu kwa nini Waislamu wanajitahidi sana kuiga Uislamu ule ule wa zamani kwa namna hata wanavyovaa, wanavyoonekana, aina gani ya jamii wawe nayo, namna ya kutawala hiyo jamii na kadhalika. Hii imejaribiwa na makundi kadhaa ya Kiislamu au na nchi kama vile Pakistan, Afghanistan, au Sudan na kadhalika. Kila wanaposhindwa kufikia jamii kamilifu kabisa isio na doa wanasema, hatukufanya inavyopaswa, Tutafute tulichosahahu. Hii inalekea kuwa na hali ya kurudi nyuma kwa kiwango ambacho baadhi ya Waislamu kuishi katika jamii kamilifu isio na doa kwao inamaanisha kwamba waishi namna ile ile sawa na karne ya saba ya jamii ya Kiarabu ya wakati huo, wakisita kabisa kukumbatia njia za kisasa za maisha.

Kama tukitazama uwepo wa makundi ya Kiislamu na nchi zinazonadai kufuata Uislamu kwa miaka zaidi ya mia tangu kuanguka kwa himaya ya usulutani wa Ottoman mwaka 1922, tunaona muendelezo wa kila kundi kuwa na itikadi au ufurutu ada kali kuliko ya kundi za kabla. Hivyo kumekuwa na kuongezeka kwa vurugu miongoni mwa makundi ya kisiasa ya Kiislamu kwa miaka zaidi ya mia katika kujaribu kwa karibu sana kuiga matendo ya Muhammad, na kuongezeka kwa idadi ya Waislamu ambao wanataka kuanzisha Sharia (Sheria za Kiislamu) Ulimwenguni kote.

www.Grace-and-Truth.net

Page last modified on March 09, 2024, at 06:59 AM | powered by PmWiki (pmwiki-2.3.3)